Wednesday, March 12th, 2025

Meridianbet Promo Code | Jinsi ya kujiunga Meridiabet tanzania |Promo code 1109

Meridianbet Promo Code Jinsi ya kujiunga Meridiabet tanzania Promo code 1109
Share on:

Meridianbet Promo Code | Jinsi ya kujiunga Meridiabet tanzania |Promo code 1109

Meridian bet  promo code ni msimbo maalumu wakujisajili katika kampuni ya meridianbet na kupokea bonasi pindi utakapodeposit kwenye account yako. Promo code ya meridianbet Tanzania ni 1109 .

Aidha  promo code hii ya.meridianbet hutumika mara moja tu wakati wa kujisajili katika kampuni ya kubashiri mtandaoni ya meridianbet. Unachotakiwa kuzingatia ni kujaza namba hizo kwa usahihi 1109 katika sehemu husika katika mchakato wa kujiunga na meridianbet kama mteja mpya. Kwa lugha adhimu ya kiswahili Promo code Huitwa msimbo wa Ofa. Hivyo msimbo wa ofa meridinbet ni 1109

 

Jinsi ya kujisajili Meridianbet  na kujaza promo code

Mchakato wa kujisajili meridianbet Tanzania ni rahisi sana , tutaorodhesha hatua kwa hatua jinsi ya kujiunga na kuweza kujaza promo code yako

  • Tembelea tovuti ya meridianbet tanzania ingia kwa kugusa hapa [meridianbet.co.tz]
  • Jaza namba yako ya simu ya mkononi mfano 7666XXXXXXX
  • Tengeneza password au nywila ambayo utaikumbuka wakati wote. Ikiwa utasahau password unaweza kurecover password yako au ukawasiliana na huduma kwa wateja
  • Jaza promo code ya meridian bet 1109 , anza kwa kubofya kiduara cha add promo code au (msimbo wa ofa ) na ujaze na mbari hizo kwa usahihi
  • Kamilisha kujiunga na unaweza kuendelea na hatua nyingine kama kudeposit kwenye account yako.

 

Jinsi Ya kuweka Pesa na kutoa Meridian bet Tanzania

Unaweza kuweka pesa Meridianbet kwa njia ya Moja kwa moja  au kwa kupitia USSD kwa njia ya mpesa, Yas pesa, halopesa, airtel money na Selcom angalia namba ya kampuni kwa usahihi kulingana na mtandao husika wakati wa kuweka pesa meridianbet

Kuweka Pesa  Kwa M-pesa

  1. Piga *150*00#
  2. Chagua lipa kwa mpesa
  3. Chagua namba 4 namba ya biashara meridianbet ingiza 170066
  4. Ingiza account Id yako kama namba ya kumbukumbu
  5. Weka kiasi na ukamilishe mchakato wa kuweka pesa

Kuweka pesa kwa njia Ya Airtel Money

  1. Piga *150*60#
  2. Chagua 5 lipa bili
  3. Chagua 6 bahati nasibu
  4. Andika 8 kuchagua meridianbet, weka kiasi
  5. namba ya kumbukumbu jaza account Id yako.

Jinsi ya kuweka pesa kwa Yas Pesa

  1. Bonyeza *150*01#
  2. Chagua namba 4 kwenye malipo ya yas pesa
  3. Chagua namba mbili ingiza namba ya biashara 444999
  4. Ingiza account id kama namba ya kumbukumb, weka kiasi kuanzia tsh 100 na ukamilishe mchakato wa kuweka pesa kwenye account yakp

 

Sababu kwanini ujisajili na meridianbet  Tanzania.

Kampuni ya kubashirI ya meridianbet inaongoza katika kampuni bora zaidi za kubashiri mtandaoni ikiwa nipamoja na kulipa malipo ya haraka, huduma nzuri kwa wateja pamoja na kurahisi wa kutumia mtandao wao.

Aidha kampuni ya kubashiri ya meridianbet  hutoa options nyingi za kubashiri pamoja na huduma ya cashout. Vile vile kuna michezo mingi ya kasino xa mtandoni ambazo unaweza kucheza na kushinda.

Hivyo tuna pendekeza kampuni hii kwa kiwango cha 3.9 kati ya 5.0 unaweza kutembelea tovuti ya (Meridianbet.co.tz) kwa taarifa zaidi kuhusu kampuni hii.

 

Huduma Kwa wateja Meridian Bet

Kuhusu huduma kwa wateja meridianbet hupatikana 24/7 ikiwa una changamoto yoyote unaweza kuwasiliana na meridianbet kupitia namba yao ya huduma kwa wateja, kuchat live katika tovuti au kutuma barua pepe

Kituo cha Simu Huduma kwa Wateja: +255 768 988 200, +255 754 303 031, +255 754 303 032 ·

Barua pepe: info@meridianbet.co.tz

 

Hitimisho

Endelea kusoma tovuti hii kwa habari mbalimbali kuhusu mapitio ya kampuni mbalimbali za kubeti

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *