Jinsi ya Kujisajili na SportPesa Tanzania
Kujisajili kwa njia ya sms tuma “Mchezo” kwenda 15888. Utapokea ujumbe wa uthibitisho wenye link itakayokupeleka kusoma Vigezo na Masharti kwenye tovuti ya SportPesa.
Mara baada ya kusoma na kuelewa Vigezo na Masharti, tuma “KUBALI” kwenda 15888 kukamilisha usajli.
Kuweka Pesa
Jinsi ya kuweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa kupitia mitandao ya Vodacom, Airtel, Halopesa au Tigo:
Fungua menu kwenye simu yako kisha tuma pesa kwa kutumia namba ya biashara iliyotumwa kwako wakati wa kujisajili.
- Vodacom M-Pesa: 150888
- Airtel Money: 150888
- Tigo Pesa: 150888
- Halopesa: 150888
Read Also BetMaster Kenya Registration, Login, App, Bonus, Jackpot and PayBill Number
Kutoa Pesa kwa njia ya SMS
Tuma sms kwenda 15888: W#1200#8888 – ambapo W inasimama kama Kutoa; 1200 ni kiasi cha pesa unachotaka kutoa na 8888 ni namba yako ya siri ya SportPesa uliyopokea wakati wa kujisajili. Kumbuka:
Mfumo wa kutoa ni ule ule kwa mitandao ya watoa huduma wote wa simu, yaani, Vodacom M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, Halopesa
SportPesa App
Pakua Programu ya SportPesa leo, na ujipatie njia salama ya kuweka bashiri zako kwa kupita App
SportPesa Contacts
SPORTPESA LTD.:
TIN: 130-393-985
Namba ya Usajili wa Kampuni: 123072
Tanzania, Dar Es Salaam, Kinondoni District
Anuani ya ofisi:
PENINSULA HOUSE, TOURE DRIVE 251, OYSTERBAY, DAR ES SALAAM, S.L.P: 23135